NDOA..NI
MPANGO WA MUNGU JAMANI.....NIMEHUDHURIA HARUS NYING SANA, ILA KUNA KITU
NIKAANZA KUKIGUNDUA KWA BAADHI YA MADADA ZETU WANFIKIRI NDOA NI SAWA NA
KWENDA SOKO LA KARUME NA KUOKOTA ZILE TAITI ZA BEI NAFUU, UNAKUTA DEMU
KAENDA KWENYE HARUSI YA MWENZAKE....AKIMUANGALIA MWENAKE ALIVYOPENDEZA
NA MPAKA KUFIKA DARAJA HILO HAIKUA KITU RAHISI KAMA AFIKIRIAVYO...ASA
ANARUD HOME ANAANZA KUMSUMBUA BOY WAKE
NATAKA NA MM NIOLEWE....SAWA HATUKATAI NDOA NI JAMBO JEMA MBELE ZA
MUNGU.....ILA INABID MTU UJIPANGE NA SI KKUKRUPUKA KISA ALICE KAOLEWA NA
WEWEW WATAKA.....NDOMANA UNAKUTA NDOA NYINGI ZA GAFLA UISHIAA CHALINZE
TENA KWA FEDHEA YA HALI YA JUUU.........YALE MATARUMBETA KUPULIZWA SI
KAZ NDOGO....NA NDOA SIO FASHION KABISA, PIGA GOTI KWA MUNGU NA BADAYE
INAKUJA TU UKIJITAMBUAAAAA........
No comments:
Post a Comment