haya
maisha hayatabiriki, hakuna anaejua kesho itakuwaje, wngi tunawaza ya
leo tu. Ni ukweli usiopingika kwamba wengi tunawaza kuwa matajir,
wengine viongoz wakubwa nk. Lkn pamoja na hayo yote Mungu tumemuweka
wap? Tunajisahau sana kias kwamba hatujui kuna kufa tunafanya starehe
kupita kiasi.wengine wanapat hela wanazitumia vibaya, wakat wengine
wanazitafuta hizohzo hela kufanya maendeleo.leo hii vifo
ni vingi watu wanakufa kwa namna ya ajabu je ww umejifunza nn? Je
unajua kesho utaamka vp? Na je unajua siku yako ikifika utaondoka vp?
Tubadilike jaman. Pamoja na kwamba tunapigana ili tuwe na maisha bora ,
lakin tusijisahau kias cha kumchukiza Mungu.Tunafanya stareh lakin ziwe
na kiasi.Mungu atusaidie kutambua hili.napenda kuwatakia jion njema na
Mungu wangu awasaidie kwa hili. Nawapenda sana
No comments:
Post a Comment