Miss
Sinza na Miss Tanzania 2012-2013, Brigit Alfred (kulia) akizungumza na
Warembo wanaotarajia kuwania Taji la Redd’s Miss Sinza 2013, wakati
alipowatembelea katika Kambi yao ya mazoezi jana katika Ukumbi wa Meeda
Sinza na kuwafunda kuhusu mashindano hayo kuelekea shindano hilo
linalotarajia kufanyika Juni 7,mwaka huu kwenye Ukumbi huo. Katika
shindano hilo Viingilio vitakuwa ni Sh. 20,000 kwa VIP na viti vya
kawaida ni Sh. 10,000. Shindano hilo limedhaminiwa na Mtandao wa
www.sufianimafoto.com, kinywaji cha Dodoma Wine, Chilly Willy Energy
Drink, Clouds Media Group, CXC Africa, Saluti5 na Fredito Entertainment.
No comments:
Post a Comment