Pages

Friday, 17 May 2013

Mkataba wa kuwafanya Watanzania kuwa na uhakika wa kuishi na kufanya shughuli zao kwa amani nchini Canada na Wacanada nchini wasainiwa jijini Dar es Salaam

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Bernard Membe (kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kuisaini mkataba wa kuwahakikishia Watanzania usalama wa maisha na mali zao wawapo nchini Canada na Wacanada nchini Tanzania, wizarani hapo, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada,  John Baird.

No comments:

Post a Comment