Pages

Tuesday, 16 July 2013

HII MOVE SIYAKUKOSA!!!!!!

Olympus Has Fallen (2013)
When the White House (Secret Service Code: "Olympus") is captured by a terrorist mastermind and the President is kidnapped, disgraced former Presidential guard Mike Banning finds himself trapped within the building. As the national security team scrambles to respond, they are forced to rely on Banning's inside knowledge to help retake the White House, save the President and avert an even bigger disaster.
Genres: Action, Thriller
Directors: Antoine Fuqua
Cast: Morgan Freeman, Robert Forster, Aaron Eckhart, Cole Hauser, Melissa Leo, Radha Mitchell, Angela Bassett, Rick Yune, Ashley Judd, Gerard Butler

Sunday, 2 June 2013

BRAZIL VS ENGLAND KIVUMBI KUTIMKA LEO SAA NNE USIKU(22;00 PM)

Innocent: Luiz said that Neymar's comments were because he doesn't know much about EnglandPoor: England's last disappointing performance was in their 1-1 draw with the Republic of Ireland
BAADA kunusurika kufutwa, Mechi ya Timu za Taifa za Brazil na England itachezwa leo Usiku huko Mjini Rio De Janeiro kwenye Uwanja wa Maracana, ambao Jina lake rasmi ni Estadio Jornalista Mário Filho, ikiwa ni ufunguzi rasmi wa Uwanja huo uliofanyiwa ukarabati mkubwa.
Juzi, Jaji mmoja aliamua Mechi hiyo isichezwe baada ya Uwanja huo kutotimiza masharti ya usalama lakini baadae uamuzi huo ukafutwa baada ya Rufaa.
Tangu ufanyiwe ukarabati tayari Mechi moja ya maonyesho imeshachezwa iliyowahusisha Mastaa wa zamani wakati Manguli wa Brazil, Ronaldo na Bebeto, walipoongoza Timu tofauti hapo Aprili 27 na kushuhudiwa na Watazamaji Elfu 25.
Maracana, ambayo iliwahi kupakia Watazamaji hadi 200,000, ilijengwa kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 1950 ambayo Wenyeji Brazil walifungwa kwenye Fainali yake Bao 2-1 na Uruguay waliotwaa Ubingwa wa Dunia.
Kwa mara nyingine tena, Maracana itachezwa Fainali ya Kombe la Dunia hapo Mwaka 2014 wakati Brazil watakapokuwa Wenyeji na Uwanja huo utachukua Washabiki 78,838 wote wakiwa wamekaa Vitini.
Wakati huo huo beki wa Brazil na klabu ya Chelsea ya London, David Luiz amesema England hawana uwezo wa kutwaa kombe la dunia mwakani litakalofanyika nchini humo.
“England hawawezi kushinda kombe la dunia. Hawana mawazo hayo kwa sasa na itakuwa ngumu sana kwao”. alisema Luiz.
Luiz aliongeza kuwa “Niliwatazama kombe lililopita, hawakucheza vizuri, na mpaka sasa hawajabadilika hata kidogo”.
Nyota huyo ataitumikia timu ya taifa katika mchezo wa leo wa kirafiki dhidu ya england.

"TANZANIA HAIWEZI KUIOMBA RADHI NCHI YA RWANDA"......BENARD MEMBE


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema kamwe Tanzania haitaiomba radhi Rwanda, baada ya Rais Jakaya Kikwete kuishauri nchi hiyo kufanya mazungumzo na upinzani ili kumaliza vita katika eneo hilo la Maziwa Makuu.
 
Serikali ya Rwanda iliitaka Tanzania iombe radhi kwa madai kuwa kauli ya Rais Kikwete ni kama tusi kwao na kwamba wao hawawezi kukaa na kuzungumza wapinzani ambao ni wauaji.
 
“Kama Rwanda haitaki kufuata ushauri wa Rais Kikwete inatakiwa kuuacha na siyo kumtaka aombe radhi,” alisema.
 
Membe alitoa ufafanuzi huo bungeni jana wakati akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mjadala wa makadirio ya matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka 2013/2014.
 
Tamko hilo la Serikali limekuja ikiwa zimepita takriban siku sita tangu Serikali ya Rwanda kutoa tamko la kupinga ushauri huo uliotolewa na Rais Kikwete wakati akiwa katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), uliofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
 
Akijibu pendekezo hilo la Rais Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Louise Mushikiwabo alisema kuwa Rwanda haiko tayari kufanya mazungumzo na watu ambao walishiriki kwenye mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, dhidi ya Watutsi na kwamba kufanya hivyo ni sawa na kuhalalisha mauaji kwa wananchi wake.
“ Wale wote wanaodhani kuwa Rwanda itaanzisha majadiliano na waasi wa FDLR nadhani kwa ukweli hawajui kile wanachozungumza. Rwanda haiwezi kujadiliana na wauaji,” alisema waziri huyo wakati akizungumza na Idhaa ya Kimataifa ya Radio Ufaransa.
 
Alisema kuwa wakati serikali ya Rwanda imefaulu kuzika mienendo inayopalilia mauaji ya halaiki, lakini bahati mbaya kumesalia makundi ya watu ambayo bado yanahubiri itikadi zinazokumbusha uchungu na kutonesha kidonda kilicholeta maafa makubwa kwa wananchi.
 
“ Kumbe kuna wasemaji wengi wa kundi la FDLR. Wengine wao wanaendelea kufungamana na itikadi za kundi hili. Rwanda ilifaulu kutokomeza mauaji ya halaiki lakini hatukutokomeza itikadi za kundi hili,” alisema waziri huyo.
Kauli ya waziri huyo imeungwa mkono na baadhi ya wasomi pamoja na wanaharakati waliosema kuwa kuiomba Rwanda ianzishe majadiliano na kundi hilo, wanapaswa kufikiri mara mbili.
 
Katika ufafanuzi wake Membe alimnukuu Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Isaack Rabin kwamba mwaka 1995 aliwahi kutoa tamko lililosema, ‘Tunajenga amani na tunajadiliana na maadui zetu na si marafiki’.
 
Alisema kama Serikali ya Rwanda itakuwa imesikia kauli hiyo inatakiwa kufanya mazungumzo ya amani na maadui, na wasingoje kufanya mazungumzo ya amani na Tanzania, ambayo wana uhusiano mzuri na ni nchi rafiki kwa muda mrefu.

“Sijui kwa nini wanaliepuka suala hili. Israel na Palestina wanazungumza, sasa wao ni nani mpaka wakatae kufanya mazungumzo? Sasa watapigana mpaka lini wakati wameshindwa kutatua tatizo hilo kwa miaka 16?” alihoji Membe na kuongeza;
 
“Sijui kwa nini wanaona aibu kufanya mazungumzo na upinzani. Ningependa serikali ya Rwanda ijue kuwa kwa tabia yetu tangu uhuru tunatoa kipaumbele kwa mazungumzo ya amani. 


 Tumekwenda katika kikundi cha M23 na tumemhimiza Rais Yoweri Museveni wa Uganda afanye mazungumzo.”

BIG BROTHER NI SHINDANO LA LAANA......WENGI WAO NI WACHEZA FILAMU ZA NGONO....NA HII NI VIDEO YA USHAHID



Kinachoonekana  ni  kwamba, BBA ni  sawa  na  shindano la  laana  ambamo  asilimia  kubwa  ya  washiriki wake  ni  wacheza  filamu chafu  au  watu  wenye  skendo  mbaya....

JUZI tuliandika  juu  ya  kuvuja  kwa  video  chafu ya mshiriki wa shindano la Big Brother Africa  ambaye  ni  raia  wa Zimbabwe......

Mshiriki huyo  ni  mwanadada  maarufu  kwa  jina  la Pokello. Katika video hiyo chafu, Pokello na njemba  iliyojulikana  kwa  jina  la  "Desmond Chideme " maarufu kama Stunner wanaonekana wakifanya ngono bila kutumia kinga.

Skendo  hiyo  imewakera  sana watu wa  Zimbabwe    kiasi  kwamba  wamelazimika  kutengeneza  ukurasa  wao  maalumu wa facebook  unaohamasisha  kura  za  kumng'oa  mrembo huyo  pindi  atakapowekwa  kikaangoni....



Video hiyo ambayo ilirekodiwa kwa kutumia simu ya iphone na kubadilishwa kwenda kwenye fomati ya avi ilivuja baada ya boyfriend wa pokello kuitoa video hiyo na kumpa rafiki yake wa karibu huku akijisifu.
Upekuzi  wa  mtandao  huu  umefanikiwa  kuinasa  video  live  baada  ya  mtandao  wa  youtube  kuiondoa......
Kwa  kuwa  walijirekodi  wenyewe, acha waumbuke .....

Wednesday, 29 May 2013

KEJELI YA MREMBO ZARI FROM UGANDA JUU YA BIG BROTHER!!!!!!!!!!

UJUMBE KUTOKA KWA CLARA MURO,


Britney Spears ‘all for’ engagement


1http://hot92and100.com/sites/default/files/spears.jpg

The singer is reportedly keen on settling down with her new boyfriend David Lucado, dee having only dated the legal assistant since February.

The former X Factor USA judge is said to be head over heels for her 27-year-old beau and won’t rule out getting serious again soon after her split from her ex-fiancé Jason Trawick.

David, who was first pictured with the star on Valentine’s Day, is also said to be in love with the star and has bonded with Britney’s two children from her marriage to Kevin Federline.

“He’s fallen for her big time and loves her kids,” a source told British magazine Now. “David wants to make things official - and Britney is all for it.”

The pop star previously got married to childhood sweetheart Jason Alexander in a surprise Las Vegas ceremony in January 2004, but the union was annulled after just 55 hours.

Britney became engaged to backing dancer Kevin Federline in July that year after only three months of dating, tying the knot in a lavish do two months later.

The couple went on to have sons Sean Preston and Jayden James together but separated after two years of marriage.
spit

MISS SINZA/ MISS TANZANIA 2012-2013 BRIGIT ALFRED AWAFUNDA WAREMBO WA REDD’S MISS SINZA 2013

 Miss Sinza na Miss Tanzania 2012-2013, Brigit Alfred (kulia) akizungumza na Warembo wanaotarajia kuwania Taji la Redd’s Miss Sinza 2013, wakati alipowatembelea katika Kambi yao ya mazoezi jana katika Ukumbi wa Meeda Sinza na kuwafunda kuhusu mashindano hayo kuelekea shindano hilo linalotarajia kufanyika Juni 7,mwaka huu kwenye Ukumbi huo. Katika shindano hilo Viingilio vitakuwa ni Sh. 20,000 kwa VIP na viti vya kawaida ni Sh. 10,000. Shindano hilo limedhaminiwa na Mtandao wa www.sufianimafoto.com, kinywaji cha Dodoma Wine, Chilly Willy Energy Drink, Clouds Media Group, CXC Africa, Saluti5 na Fredito Entertainment.

BREAKING Newzz: BAADA YA NGWEA, RAY C NAYE YUPO HOI KITANDANI KATIKA HOSPITALI YA REGENCY..!!

Sunday, 26 May 2013

IYONZIMA AONGEZA MIWILI YANGA

Haruna Niyonzima akiongea na waandishi wa habari baada ya kuongeza mkataba wa kuichezea Yanga kwa miaka miwiUongozi wa mabingwa awapya wa Ligi Kuu ya Vodacom  klabu ya Young Africans leo umekata mzizi wa fitina kwa kiungo mchezeshaji kutoka nchini Rwanda Haruna Niyonzima kuendelea kuitumikia timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili kufuatia kumalizika kwa mkataba wake awali. Akiongea na waandishi wa habari makao ya klabu ya Yanga, katibu mkuu Lawrence Mwalusako amesema wameamua kumuongezea mkataba mchezaji huyo kufuatia kuuhitaji mchango wake kwani katika kipindi chake cha miaka miwili ameonyesha kiwango cha hali ya juu na kutoa mchango mkubwa.
 Mwalusako amesema kumekua yakiongelewa mengi juu ya mchezaji wetu Niyonzima, baadhi ya vyombo vya habari vimekua vikitoa taarifa za kupotosha juu yake ukweli leo umedhihirika kwamba Niyonzima ni mchezaji wa Yanga na ataendelea kuitumikia kwa miaka miwili.
Haruna Niyonzima alijiunga na Yanga kwa mara ya kwanza Julai 2011 akitokea katika timu ya APR nchini Rwanda ambapo katika miaka yake miwili aliyoichezea timu ya Yanga amefanikiwa kuisadia kupata makombe mawili ya ubingwa wa Ligi Kuu 2012-2013 na Kombe la Kagame 2011-2012.
Naye Niyonzima amesema anawashukuru wanachama, washabiki na wapenzi wa klabu ya Yanga kwa kuwa naye muda wote, Yanga ni nyumbani kwangu kwani najisikia furaha kuichezea timu hii na malengo yangu ni kuisadia ili iweze kufanya vizuri katika upatashindano ya kimataifa.
Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya klabu ya Yanga Abdallah BinKleb amesema palikua na propaganda nyingi juu ya Niyonzima, lakini ukweli ndio huu Niyonzima ataendelea kuitumikia klabu ya Yanga kwa miaka miwili.
"Tunautambua mchango wake alioutoa kwa miaka mwili kwani ameweza kutupatia vikombe viwili vya Ligi Kuu ya Vodacom na Kombe la Kagame hivyo tumemuongezea mkataba wa miaka miwili tena ili aendelee kutoa mchango wake na kuisadia timu katika michezo ya kimataifa" alisema BinKleb

KAMA KAWA LEO KINA HAPPEN AT NEW MAISHA CLUB MPAMBANO KATI YA HIP HOP NA BONGO FLEVER

      
 




Je nani watakaa wabanapua  au wale wazee wakutoboa pua aka(hip hop)  don't  mis  just buku  kumi(tz sh 10000) at new maisha club. utapewa  cd aya video ya muziki gani bureeeeeeeeeeeeeeee!

JE KWELI TUTAFIKA KAMA SIASA IKICHANGANYWA NA DINI!!!!!!!!

KWA WALE WAPENDA SERIES ZA HORROR HIZI KALI BWANA

The Walking Dead
Based on the comic book series of the same name, The Walking Dead tells the story of a small group of survivors living in the aftermath of a zombie apocalypse.
Genres: Drama, Horror, Suspense
Directors: Frank Darabont, Ernest R. Dickerson, Lesli Linka Glatter, Gregory Nicotero, Guy Ferland, David Boyd, Gregory Nicotero, , , Daniel Attias
Grimm
Nick Burkhardt thought he prepared himself for the realities of working as a homicide detective until he started seeing things he couldn't explain. Nick's life turns upside down when his Aunt Marie reveals they are descendants of an elite group of hunters, known as "Grimms," who fight to keep humanity safe from supernatural creatures. As Nick digs deeper into her past, he realizes that he will have to shoulder the responsibility of his ancestors.
Genres: Drama, Fantasy, Horror
Directors: Clark Mathis, Peter Werner, Michael W. Watkins, David Grossman, Eric Laneuville, Clark Mathis, Charles Haid, Darnell Martin, Terrence O'Hara, Norberto Barba

GUYZ CHECK THIS

Nokia wireless chager

Twenty years ago the mere thought of wireless telephones was enough to make us raise our eyebrows; now, we can even ditch the cables we use to charge them. And because the highest failure rate in mobile equipment tends to be the fraying and kinked power cord, this is very good news.
While it’s not yet mainstream, you probably already know that smartphones like the Nokia Lumia 820 and the Nokia Lumia 920 are the wireless charging trailblazers. However, there’s plenty more to learn about this futuristic tech.
One. Wireless charging works by using induction – the same basic principle that Michael Faraday discovered way back in 1831. An electrical current in one part of the charger creates a magnetic field, which in turn creates a voltage – and that voltage powers your phone, wire-free! You simply place your phone on top of the charging unit, just like, with an induction cooker, you place your pan on the hob. Simple!
Two. Like any other emergent tech, there are competing systems. Nokia has adopted the Qi standard, developed by the Wireless Power Consortium, a cooperation of worldwide companies that aims to create a proprietary standard for wireless charging technology that will eventually operate worldwide. ‘Qi’ comes from the Chinese concept of energy flow in traditional medicine – pretty appropriate, we think!
Three. You won’t always have to bring your charging pad with you. Nokia, for instance, has teamed up with Virgin Atlantic and Coffee Bean And Tea Leaf, which means that when you’re the London Heathrow Clubhouse lounge, or in a Coffee Bean café, you’ll be able to make use of their table-top charging stations while you relax. Now that’s twenty-first century customer service if ever we saw it.

TAIFA STARS WAONDOKA KWENDA KUIWEKEA KAMBI MOROCCO ADDIS ABABA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuondoka leo (Mei 26 mwaka huu) usiku kwenda Addis Ababa, Ethiopia ambapo itaweka kambi na kucheza mechi moja ya kirafiki kabla ya kwenda Morocco.



Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itaondoka saa 5 usiku kwa ndege ya EgyptAir ikiwa na kikosi cha wachezaji 21 chini ya nahodha wake kipa Juma Kaseja.



Timu hiyo ikiwa Ethiopia, Juni 2 mwaka huu itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Sudan ambapo siku inayofuata itaondoka kwenda Marrakech, Morocco kwa kupitia Cairo, Misri. Mechi hiyo ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji Morocco itachezwa Juni 8 mwaka huu jijini Marrakech.



Mbali ya nahodha Kaseja, wachezaji wengine wanaoondoka katika kikosi hicho ambacho kina wiki sasa tangu kingie kambini jijini Dar es Salaam ni Mwadini Ally na Ally Mustafa ambao wote ni makipa.



Wengine ni Shomari Kapombe, Kevin Yondani, Aggrey Morris, Haroub Nadir, Mwinyi Kazimoto, Frank Domayo, Mrisho Ngasa, Khamis Mchana, Amri Kiemba, Salum Abubakar, Simon Msuva, John Bocco, Vicent Barnabas, Mudathiri Yahya, Athuman Idd na Haruni Chanongo.



Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu ambao wako na timu yao ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo watajiunga moja kwa moja na Stars jijini Marrakech, Juni 4 mwaka huu wakitokea Maputo, Msumbiji mara baada ya mechi yao ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Liga Muculumana ya huko.



Katika msafara huo wa Ethiopia benchi la ufundi la Stars linaundwa na Kim Poulsen (Kocha Mkuu), Sylvester Marsh (Kocha Msaidizi),Juma Pondamali (Kocha wa makipa), Leopold Tasso (Meneja wa timu), Dk. Mwanandi Mwankemwa (Daktari), Frank Mhonda (Mtaalamu wa tibamaungo) na Alfred Chimela (Mtunza vifaa).

UPDATE: MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KUTANGAZWA UPYA KESHO JUMATATU TAREHE 27/5/2013


Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu wa mh naibu wazir anayeshughulikia maswala ya elimu hapa nchini kwa sasa kuwa national examination results kwa matokeo yaliyofutwa yanatarajia kutangazwa kesho baada ya kukamilika kwa marekebisho ya upangaji mpya wa madaraja. chanzo cha kuaminika n ndugu wa

BREAKING NEWS: NEYMAR ATHIBITISHA ANAJIUNGA NA BARCELONA

BARCELONA wamefanikiwa kushinda mbio za kumsaini nyota wa Brazil Neymar kwa ada ya uhamisho ya  £20million kwa mkataba wa miaka mitano.

Mshambuliaji huyo sasa anaelekea barani ulaya baada ya Santos kukubali kumuuza nyota wao waliomng'ang'ania kwa miaka mingi.
Akiandika kwenyepage yake ya Instagram, Neymar alisema: "Nimeongea na marafiki na familia. Jumatatu nitajiunga na Barcelona."
Mabosi wa Barca walienda Sao Paolo kwa mazungumzo mazito kuhusu usajili wa mbrazili huyo, na wakafanikiwa kuwashawishi Santos kumuuza Neymar ambaye angeweza kuondoka bure mwezi Julai.

Neymar alitaka muda kufikiria ofa nyingine kutoka kwa wapinzani wa Barca Real Madrid lakini mwishoni akaamua kwenda Nou Camp.

Kwa usajili huu sasa Neymar atacheza atajiunga na star wa Argentina Lionel Messi na kuunda safu ya ushambuliaji inayotisha barani ulaya.

Neymar ameifungia Santos mabao 138 kwenye mechi 229 tangu mwaka 2009.

Monday, 20 May 2013

8 Things You Can Get Away With at the Billboard Awards and Nowhere Else



Billboard
Last night, the Billboard Awards were broadcast across millions of screens, which means millions of people were treated to what turned out to be a pretty exciting night. Still, some moments during the presentation felt, well… inappropriate.
Here are eight things you can get away with at the Billboard Awards, but definitely nowhere else.

Mariah Carey fails to stand for JLo


1024 × 768 - fanpop.com
450 × 576 - perezhilton.com
The renowned diva sits on this year's judging panel alongside Randy Jackson, Keith Urban and Nicki Minaj.

Former Idol judge Jennifer gave a show-stopping performance of her new single Live it Up, which features Pitbull for the season finale. The beauty writhed around on stage, scantily clad in a white mini dress after the rapper opened the show.


Despite her energetic performance, Mariah stayed squarely on her chair while all three of her fellow judges jumped up to salute Jennifer's display.

Mariah was seen smiling in her chair, while the 43-year-old garnered rapturous applause.

There is famously history between the pair. The feud began shortly after Jennifer launched her recording career and was linked to Mariah’s ex, Sony chief Tommy Mottola.

When asked about collaborating with Jennifer, Mariah once claimed: “I’d rather be on stage with a pig. A duet with Jennifer Lopez and me just ain’t gonna happen."

Mariah apparently also insisted on $2 million more than Jennifer when she took over her seat on Idol this season.

Despite her demands, rumours are circulating that producers are planning to replace the Mariah with Jennifer in a bid to save floundering ratings.

When questioned about the validity of the hearsay recently, Jennifer was evasive.

“Um, you know, I don't have much to say about that right now,” she said. “I don’t know… it’s too far off to say right now.”

Meanwhile, Mariah showed off her vocal range during the show's finale. The star wowed with a seven-minute medley of some of her biggest hits, including Vision of Love and Hero, before ending with her newest single #Beautiful.

Jennifer Hudson also returned to the Idol stage to sing Inseparable with finalist Candice Glove