Pages

Tuesday, 16 July 2013

HII MOVE SIYAKUKOSA!!!!!!

Olympus Has Fallen (2013)
When the White House (Secret Service Code: "Olympus") is captured by a terrorist mastermind and the President is kidnapped, disgraced former Presidential guard Mike Banning finds himself trapped within the building. As the national security team scrambles to respond, they are forced to rely on Banning's inside knowledge to help retake the White House, save the President and avert an even bigger disaster.
Genres: Action, Thriller
Directors: Antoine Fuqua
Cast: Morgan Freeman, Robert Forster, Aaron Eckhart, Cole Hauser, Melissa Leo, Radha Mitchell, Angela Bassett, Rick Yune, Ashley Judd, Gerard Butler

Sunday, 2 June 2013

BRAZIL VS ENGLAND KIVUMBI KUTIMKA LEO SAA NNE USIKU(22;00 PM)

Innocent: Luiz said that Neymar's comments were because he doesn't know much about EnglandPoor: England's last disappointing performance was in their 1-1 draw with the Republic of Ireland
BAADA kunusurika kufutwa, Mechi ya Timu za Taifa za Brazil na England itachezwa leo Usiku huko Mjini Rio De Janeiro kwenye Uwanja wa Maracana, ambao Jina lake rasmi ni Estadio Jornalista Mário Filho, ikiwa ni ufunguzi rasmi wa Uwanja huo uliofanyiwa ukarabati mkubwa.
Juzi, Jaji mmoja aliamua Mechi hiyo isichezwe baada ya Uwanja huo kutotimiza masharti ya usalama lakini baadae uamuzi huo ukafutwa baada ya Rufaa.
Tangu ufanyiwe ukarabati tayari Mechi moja ya maonyesho imeshachezwa iliyowahusisha Mastaa wa zamani wakati Manguli wa Brazil, Ronaldo na Bebeto, walipoongoza Timu tofauti hapo Aprili 27 na kushuhudiwa na Watazamaji Elfu 25.
Maracana, ambayo iliwahi kupakia Watazamaji hadi 200,000, ilijengwa kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 1950 ambayo Wenyeji Brazil walifungwa kwenye Fainali yake Bao 2-1 na Uruguay waliotwaa Ubingwa wa Dunia.
Kwa mara nyingine tena, Maracana itachezwa Fainali ya Kombe la Dunia hapo Mwaka 2014 wakati Brazil watakapokuwa Wenyeji na Uwanja huo utachukua Washabiki 78,838 wote wakiwa wamekaa Vitini.
Wakati huo huo beki wa Brazil na klabu ya Chelsea ya London, David Luiz amesema England hawana uwezo wa kutwaa kombe la dunia mwakani litakalofanyika nchini humo.
“England hawawezi kushinda kombe la dunia. Hawana mawazo hayo kwa sasa na itakuwa ngumu sana kwao”. alisema Luiz.
Luiz aliongeza kuwa “Niliwatazama kombe lililopita, hawakucheza vizuri, na mpaka sasa hawajabadilika hata kidogo”.
Nyota huyo ataitumikia timu ya taifa katika mchezo wa leo wa kirafiki dhidu ya england.

"TANZANIA HAIWEZI KUIOMBA RADHI NCHI YA RWANDA"......BENARD MEMBE


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema kamwe Tanzania haitaiomba radhi Rwanda, baada ya Rais Jakaya Kikwete kuishauri nchi hiyo kufanya mazungumzo na upinzani ili kumaliza vita katika eneo hilo la Maziwa Makuu.
 
Serikali ya Rwanda iliitaka Tanzania iombe radhi kwa madai kuwa kauli ya Rais Kikwete ni kama tusi kwao na kwamba wao hawawezi kukaa na kuzungumza wapinzani ambao ni wauaji.
 
“Kama Rwanda haitaki kufuata ushauri wa Rais Kikwete inatakiwa kuuacha na siyo kumtaka aombe radhi,” alisema.
 
Membe alitoa ufafanuzi huo bungeni jana wakati akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mjadala wa makadirio ya matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka 2013/2014.
 
Tamko hilo la Serikali limekuja ikiwa zimepita takriban siku sita tangu Serikali ya Rwanda kutoa tamko la kupinga ushauri huo uliotolewa na Rais Kikwete wakati akiwa katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), uliofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
 
Akijibu pendekezo hilo la Rais Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Louise Mushikiwabo alisema kuwa Rwanda haiko tayari kufanya mazungumzo na watu ambao walishiriki kwenye mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, dhidi ya Watutsi na kwamba kufanya hivyo ni sawa na kuhalalisha mauaji kwa wananchi wake.
“ Wale wote wanaodhani kuwa Rwanda itaanzisha majadiliano na waasi wa FDLR nadhani kwa ukweli hawajui kile wanachozungumza. Rwanda haiwezi kujadiliana na wauaji,” alisema waziri huyo wakati akizungumza na Idhaa ya Kimataifa ya Radio Ufaransa.
 
Alisema kuwa wakati serikali ya Rwanda imefaulu kuzika mienendo inayopalilia mauaji ya halaiki, lakini bahati mbaya kumesalia makundi ya watu ambayo bado yanahubiri itikadi zinazokumbusha uchungu na kutonesha kidonda kilicholeta maafa makubwa kwa wananchi.
 
“ Kumbe kuna wasemaji wengi wa kundi la FDLR. Wengine wao wanaendelea kufungamana na itikadi za kundi hili. Rwanda ilifaulu kutokomeza mauaji ya halaiki lakini hatukutokomeza itikadi za kundi hili,” alisema waziri huyo.
Kauli ya waziri huyo imeungwa mkono na baadhi ya wasomi pamoja na wanaharakati waliosema kuwa kuiomba Rwanda ianzishe majadiliano na kundi hilo, wanapaswa kufikiri mara mbili.
 
Katika ufafanuzi wake Membe alimnukuu Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Isaack Rabin kwamba mwaka 1995 aliwahi kutoa tamko lililosema, ‘Tunajenga amani na tunajadiliana na maadui zetu na si marafiki’.
 
Alisema kama Serikali ya Rwanda itakuwa imesikia kauli hiyo inatakiwa kufanya mazungumzo ya amani na maadui, na wasingoje kufanya mazungumzo ya amani na Tanzania, ambayo wana uhusiano mzuri na ni nchi rafiki kwa muda mrefu.

“Sijui kwa nini wanaliepuka suala hili. Israel na Palestina wanazungumza, sasa wao ni nani mpaka wakatae kufanya mazungumzo? Sasa watapigana mpaka lini wakati wameshindwa kutatua tatizo hilo kwa miaka 16?” alihoji Membe na kuongeza;
 
“Sijui kwa nini wanaona aibu kufanya mazungumzo na upinzani. Ningependa serikali ya Rwanda ijue kuwa kwa tabia yetu tangu uhuru tunatoa kipaumbele kwa mazungumzo ya amani. 


 Tumekwenda katika kikundi cha M23 na tumemhimiza Rais Yoweri Museveni wa Uganda afanye mazungumzo.”

BIG BROTHER NI SHINDANO LA LAANA......WENGI WAO NI WACHEZA FILAMU ZA NGONO....NA HII NI VIDEO YA USHAHID



Kinachoonekana  ni  kwamba, BBA ni  sawa  na  shindano la  laana  ambamo  asilimia  kubwa  ya  washiriki wake  ni  wacheza  filamu chafu  au  watu  wenye  skendo  mbaya....

JUZI tuliandika  juu  ya  kuvuja  kwa  video  chafu ya mshiriki wa shindano la Big Brother Africa  ambaye  ni  raia  wa Zimbabwe......

Mshiriki huyo  ni  mwanadada  maarufu  kwa  jina  la Pokello. Katika video hiyo chafu, Pokello na njemba  iliyojulikana  kwa  jina  la  "Desmond Chideme " maarufu kama Stunner wanaonekana wakifanya ngono bila kutumia kinga.

Skendo  hiyo  imewakera  sana watu wa  Zimbabwe    kiasi  kwamba  wamelazimika  kutengeneza  ukurasa  wao  maalumu wa facebook  unaohamasisha  kura  za  kumng'oa  mrembo huyo  pindi  atakapowekwa  kikaangoni....



Video hiyo ambayo ilirekodiwa kwa kutumia simu ya iphone na kubadilishwa kwenda kwenye fomati ya avi ilivuja baada ya boyfriend wa pokello kuitoa video hiyo na kumpa rafiki yake wa karibu huku akijisifu.
Upekuzi  wa  mtandao  huu  umefanikiwa  kuinasa  video  live  baada  ya  mtandao  wa  youtube  kuiondoa......
Kwa  kuwa  walijirekodi  wenyewe, acha waumbuke .....

Wednesday, 29 May 2013

KEJELI YA MREMBO ZARI FROM UGANDA JUU YA BIG BROTHER!!!!!!!!!!

UJUMBE KUTOKA KWA CLARA MURO,